Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
😀😀😀😀 mwaka huu simps na nice guys wataniuaMkuu umekuja na kampeni yako mpya
Tulisha fumigate humu ndani kuhusiana na ndoa naona umekuja na kampeni yako
Wakaange tu
Mpaka watoke humo walipojificha😂
Kupenda pesa sio tatizo hata wanaume pesa tunaipenda ishu ni kwamba unapata valuable output ipi kwenye mahusiano na uyo mwanamke. If all she provide is sex then that woman is liability in your life.Inategemeana na ulienae, inahisi ujifanyie assessment mwenyewe.
Dem mpenda pesa anaonekana tu.
Ama lah usidate na dem aliekuzidi shida.
Huu Uzi nawatumia generation Z wa ukoo wangu woteKwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake.
Nataka kusema nini, katika huo umri wenu wadogo zangu ni wakati muafaka wa kutengeneza njia za maisha yenu, pambania ndoto zako, tafuta kusudi lako la maisha, everyday make sure you do something to get you closer to your dreams or purpose.
Don't waste your time or resources because of women, you owe women nothing, you don't have responsibility to give her life style or luxuries which her father failed to give her. She have father, mother, sisters, brothers, ancles let them do their job.
Najua unapitia kipindi cha kukataliwa lakini hiyo isikupe shida tambua ya kwamba thamani ya mwanaume inaanzia chini na thamani ya mwanamke inaanzia juu. Utakapofika 30's hawa hawa wanawake wanakusumbua thamani zao zitakuwa chini na thamani yako itakuwa juu.
Tambua ya kwamba hao wanawake unaoona sio wa level yako walichokuzidi ni kwamba wao wamewekeza kwenye miili yao yaani nguo, vipodozi n.k ukiondoa hivyo karibu wote hawana kitu, hawana chochote kwenye akaunti za benki, hawana investment yoyote and most of them are empty-head.
Don't lose focus, strive for your dreams, trust the process.
Leo nina mzuka wa kumwaga nondo halafu kiswahili hakipandi kabisa. Sijui ni hizi serengeti lager nilizonazo kichwani au nini.
takenKwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake.
Nataka kusema nini, katika huo umri wenu wadogo zangu ni wakati muafaka wa kutengeneza njia za maisha yenu, pambania ndoto zako, tafuta kusudi lako la maisha, everyday make sure you do something to get you closer to your dreams or purpose.
Don't waste your time or resources because of women, you owe women nothing, you don't have responsibility to give her life style or luxuries which her father failed to give her. She have father, mother, sisters, brothers, ancles let them do their job.
Najua unapitia kipindi cha kukataliwa lakini hiyo isikupe shida tambua ya kwamba thamani ya mwanaume inaanzia chini na thamani ya mwanamke inaanzia juu. Utakapofika 30's hawa hawa wanawake wanakusumbua thamani zao zitakuwa chini na thamani yako itakuwa juu.
Tambua ya kwamba hao wanawake unaoona sio wa level yako walichokuzidi ni kwamba wao wamewekeza kwenye miili yao yaani nguo, vipodozi n.k ukiondoa hivyo karibu wote hawana kitu, hawana chochote kwenye akaunti za benki, hawana investment yoyote and most of them are empty-head.
Don't lose focus, strive for your dreams, trust the process.
Leo nina mzuka wa kumwaga nondo halafu kiswahili hakipandi kabisa. Sijui ni hizi serengeti lager nilizonazo kichwani au nini.
Vyema sanaKwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake.
Nataka kusema nini, katika huo umri wenu wadogo zangu ni wakati muafaka wa kutengeneza njia za maisha yenu, pambania ndoto zako, tafuta kusudi lako la maisha, everyday make sure you do something to get you closer to your dreams or purpose.
Don't waste your time or resources because of women, you owe women nothing, you don't have responsibility to give her life style or luxuries which her father failed to give her. She have father, mother, sisters, brothers, ancles let them do their job.
Najua unapitia kipindi cha kukataliwa lakini hiyo isikupe shida tambua ya kwamba thamani ya mwanaume inaanzia chini na thamani ya mwanamke inaanzia juu. Utakapofika 30's hawa hawa wanawake wanakusumbua thamani zao zitakuwa chini na thamani yako itakuwa juu.
Tambua ya kwamba hao wanawake unaoona sio wa level yako walichokuzidi ni kwamba wao wamewekeza kwenye miili yao yaani nguo, vipodozi n.k ukiondoa hivyo karibu wote hawana kitu, hawana chochote kwenye akaunti za benki, hawana investment yoyote and most of them are empty-head.
Don't lose focus, strive for your dreams, trust the process.
Leo nina mzuka wa kumwaga nondo halafu kiswahili hakipandi kabisa. Sijui ni hizi serengeti lager nilizonazo kichwani au nini.
That's is brotherhood my fella. Teach them early what we learn late.Huu Uzi nawatumia generation Z wa ukoo wangu wote
Mzee mtu akikwambia dem anapenda pesa we akilini mwako kitu gani inakujia??Kupenda pesa sio tatizo hata wanaume pesa tunaipenda ishu ni kwamba unapata valuable output ipi kwenye mahusiano na uyo mwanamke. If all she provide is sex then that woman is liability in your life.
Offcourse kwa haraka haraka akili inasema demu yupo after money.Mzee mtu akikwambia dem anapenda pesa we akilini mwako kitu gani inakujia??
Kupenda pesa means mchizi hapa ile value.
Ndivyo ilivyo kama huna doo it's better ukazitafuta kwanza.Offcourse kwa haraka haraka akili inasema demu yupo after money.
Tupo kwa kipindi cha semen retentionMTU mweusi ngono anaipenda Sana hawezi kukuelewa hata kidogo.
Nyie mabroo zetu shusheni nondo za kutupa nasaha sisi wa 3rd floor 😀😀😀😀Tuliopo 4th floor je
Huwa mnasikia hataNyie mabroo zetu shusheni nondo za kutupa nasaha sisi wa 3rd floor 😀😀😀😀
Sisi tumepevuka kiakili changamoto kubwa ipo kwa hawa madogo wa 2000Huwa mnasikia hata
Bado haujachelewaUkweli mchungu sana i had that opportunity and i didn't well utilize now it's costing me in way i can't escape rather than accepting it and alow myself to restart though in a bitter and painful way,and it gonna take angalau mwaka na nusu but for sure i will survive