DOKEZO Kwenu wafanyakazi wa benki, mnapozikataa hizi noti za elfu moja na elfu mbili mnategemea tuzipeleke wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,556
Reaction score
7,398
Kuna hii tabia inakuja kasi sana wafanyakazi wa BENKI hamtaki kuchukua (elfu moja moja & Mbili) yani noti za buku buku na buku mbili. Mnataka noti za 5,000 na 10,000 tu.

Hamzitaki hela, tuambiane pa kuzipeleka au kama hazitambuliki mzifute tujue noti ni 5,000 na 10,000 tu.
 
Pesa ni pesa hata kama ni silver.
 
Zinanuka halufu ya pumbu
 
Kumanyoko🤣🤣
 
Mimi ni wakala, kila nikipeleka benki hela nakutana na hii changamoto, muda mwingine unarudi nazo.

Sipo hapa kuchekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…