Kwenu wajuzi wa masuala ya afya...je hizi nazi ni dalili za mtu mwenye virusi vya ukimwi..?

Mods nisaidieni hapo kwenye heading ""NAZI ""wekeni ""nazo""
 
Pole Mkuu hiyo ni ajali kazini cha msingi tu kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako,ukifata hayo utaishi kwa matumaini by the way unayo nafasi embu jiamini
 
Kupima ndo suluhisho, usitake kufarijika kwa kuambiwa uongo. Nenda kapime
 
Dalili zenyewe ni

1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.

2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.

Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
Usihofu mkuu. Hyo dalili ya vipere ni magonjwa tu ya ngono na sio ngoma. So nenda kwa docta. Mwelezee... Hyo ya mchilizi cjajua bt itz beta uende piá kwa docta.
 
Vizuri ukapime kuliko kuishi kwa wasiwasi ila dalili kubwa ni kupungua uzito kwa kasi pamoja na homa za mara kwa mara kma na ilo lina kusumbua ume umia.
 
Dalili zenyewe ni

1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.

2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.

Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
Kwani ukisema ni wewe nani atakulaumu humu. Okay ni Ukimwi so what, kapime ujue CD4 ili uanze mapema ARVS
 
Dalili zenyewe ni

1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.

2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.

Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
ndio mkuu hizo ni dalili za umeme
 
Back
Top Bottom