Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods nisaidieni hapo kwenye heading ""NAZI ""wekeni ""nazo""
Unaongea kirahisi rahisi sanaBadala ya kungoja ushauri wa watu humu, kwa nini usiende hospitali ukapime ili uondokane na hali ya kuishi kwa wasiwasi?
Usihofu mkuu. Hyo dalili ya vipere ni magonjwa tu ya ngono na sio ngoma. So nenda kwa docta. Mwelezee... Hyo ya mchilizi cjajua bt itz beta uende piá kwa docta.Dalili zenyewe ni
1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.
2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.
Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
Kwani ukisema ni wewe nani atakulaumu humu. Okay ni Ukimwi so what, kapime ujue CD4 ili uanze mapema ARVSDalili zenyewe ni
1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.
2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.
Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
ndio mkuu hizo ni dalili za umemeDalili zenyewe ni
1.kuwepo na vipele pele kwenye sehemu ya chini ya kichwa cha uume wa mwanaume.
2.kuwepo na michirizi iliyokaa ki "horizontal.." kwenye mgongo kuanzia pelvic area na kupanda juu ya mgongo.
Nimeuliza maana maana ninahitaji kujua .pia nimeviona kwa jamaa yangu ambaye anahitaji kkujua ambaye sasa ana mawazo sana baada ya kuona hivyo toka mara ya mwisho kwake kujamiiana...nitashukuru kwa msaada wako.
Nenda karume usitafute faraja hapa JF😂😂😂😂😂😂