Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

Poleni wana familia! Mwenyezi Mungu awape faraja na matumaini, muendelee na maisha! Mzee apate Rehema na Pumziko la Amani!
 
Sorry for your loss[emoji174]
May his soul rest in eternal peace[emoji174][emoji120]
Stay strong Annie.
 
Pole sana ndugu maumivu ya msiba yasikie kwa mwenzio tu hasa misiba inayotugusa mioyo yetu moja kwa moja
 
Pole sana ndugu maumivu ya msiba yasikie kwa mwenzio tu hasa misiba inayotugusa mioyo yetu moja kwa moja
Yaani yanachoma kama kisu chenye ncha Kali[emoji119]
Hasa msiba ule unaopiga penyewe kama huu.
 
Back
Top Bottom