Nenda kwenye Bio za Instagram za kila msanii unaemtaka, wameweka mawasiliano ya namna ya kuwapata.Habari ndugu wote wa jf nawasalimia
Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda
Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila kusahau producers anitumie PM
Natanguliza shukrani za dhati kwenu๐๐๐
Watafute mameneja wao, kwao kuna afadhali.Mkuu kule emails hamna,na mawasiliano ya kawaida na inbox hawajibu nadhani ni kutokana na usumbufu wa mashabiki๐๐๐
Jaribu kuingia kwenye tovuti zao na kwenye anuani zao mitandaoniHabari ndugu wote wa jf nawasalimia
Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda
Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila kusahau producers anitumie PM
Natanguliza shukrani za dhati kwenu[emoji120][emoji120][emoji120]