Kwenu WanaJF

Kwenu WanaJF

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
617
Reaction score
552
Habari ndugu wote wa jf nawasalimia

Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda

Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila kusahau producers anitumie PM

Natanguliza shukrani za dhati kwenu🙏🙏🙏
 
Nenda kwenye Bio za Instagram za kila msanii unaemtaka, wameweka mawasiliano ya namna ya kuwapata.
 
Mkuu kule emails hamna,na mawasiliano ya kawaida na inbox hawajibu nadhani ni kutokana na usumbufu wa mashabiki🙏🙏🙏
 
Habari ndugu wote wa jf nawasalimia

Mapambano bado yanaendelea yaani mpaka tone la mwisho la juhudi katika kuhakikisha mambo yanaenda

Wakuu naomba kwa mwenye mawasiliano hasa emails za
Harmonize
Alikiba
Rayvanny
Young killer
Na wadau wengine wanaojishughulisha na harakati za muziki bila kusahau producers anitumie PM

Natanguliza shukrani za dhati kwenu[emoji120][emoji120][emoji120]
Jaribu kuingia kwenye tovuti zao na kwenye anuani zao mitandaoni
 
Back
Top Bottom