Kwenu Wanandoa na wadau wengine-Hivi PORNOGRAPHY inabomoa Ndoa au inaimarisha?

Kwenu Wanandoa na wadau wengine-Hivi PORNOGRAPHY inabomoa Ndoa au inaimarisha?

Dah sikuwezi! umeshindikana.Lakni mimi ni mvua samaki ,nitakuvua tu siku moja.uwe kondoo mwema.

Kwako wewe huna hata haja ya kunivua. Najileta mwenyewe. Au ushasahau umeniteua kuwa mnyonge wako?
 
Zinaamsha mhemko wa kufanya tendo la ndo si vibaya kuziangalia wanandoa
 
mmm I dont support this, mi naamini ni kujitafutia addictiion zisizokuwa na msingi.
 
mmm I dont support this, mi naamini ni kujitafutia addictiion zisizokuwa na msingi.

Mimi huwa naziogopa kama ukimwi vile au kama madawa ya kulevya,mbaya zaidi zinaharibu sana wanafunzi huko kwenye internet cafes
 
Naombeni kuuliza kwani hao wanaoziproduce hizo picha wanakua na lengo gani haswa vichwani mwao?na walengwa ni gani?maana kuna zingine ambazo zinatengenezwa specially for married couples zinakuwa zimetulia kuna maelezo jinsi ya kupitia process zote mpaka mmalize mahitaji yenu. lakini hizi zingine ndo hard core ile mbaya yani za kufa mtu mpaka unabaki midomo wazi sasa walengwa ni nani haswaa kabla ya kujua kama inabomoa au inaimarisha mahusiano yoyote.
 
Mi naona ni addiction tuu,ukizowea hayo utakuwa huendi bila hayo!!
 
Back
Top Bottom