Kwenu Wanasimba wa Dar

Kwenu Wanasimba wa Dar

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Wasalaamu

Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.

Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli?

Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita yananing'inia juu.
Hivyo tu.
 
Weka picha unadhani kila mtu yuko Daslam
.
Screenshot_20231114-163324.jpg
 
Wasalaamu

Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.

Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli?

Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita yananing'inia juu.
Hivyo tu.
Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone😁😁😁😁
 
Aisee!! Hayo natumizi mabaya ya pesa. Mechi ilishapita, timu inatakiwa kujipanga kwa ajili ya michezo mingine ya ndani, pamoja na ile ya Kimataifa.
Unaifungaje timu kubwa na bora barani Afrika uache kusheherekea?
Ni sawa na Azam aifunge Al Ahly lazima wafanye sherehe.
Mshabiki wa Yanga popote ulipo. Piga picha na video nitumie nikuone
 
The more you dwell on the past the more you settle on it and you will fail to concentrate on your future wakishinda next match hawa nipo hapa nawasubiri.
Yanga akili mingi bwa'mdogo, jeshi liko Avic Town linajiandaa na CAF ila Ali Kamwe ndo kaamua achangamshe kijiwe.
#Next match mnakula dozi nyingine hadi mpone
 
Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hujui mpira zaidi hujui historia,
1.Yanga mwaka 1935 ilianzishwa baada ya hapo ikamzaa Simba mwaka 1936.
2. Yanga imeifunga Simba magoli mengi zaidi
3. Yanga imeshinda makombe mengi zaidi kuliko Simba
4. Yanga haijawahi kutoka top 3 tangu ianzishwe.
5. Yanga ina mashabiki wengi
6. Yanga ni nembo ya nchi
7. Yanga ni timu pendwa ya watu makini kama Kikwete, Gsm, Samia n.k huki Simba ikipendwa na Kingwendi, Mwijaku na Bambo.

Sasa hapo utajua ipi ni timu kubwa zaidi

Kinachofanya na Yanga kwa sasa ni pyschological torture kwenu ili timu yenu isitulie. Na msipoangalia mtakandwa tena 5 wenzenu wamedhamiria wale.
 
Aisee!! Hayo ni natumizi mabaya ya pesa. Mechi ilishapita, timu inatakiwa kujipanga kwa ajili ya michezo mingine ya ndani, pamoja na ile ya Kimataifa.
Kwani mkuu umetajiwa kiasi kikichotumika, nikuweke wazi sasa yale mabango yanamilikiwa na Juma Pinto ambaye mtaji kaupata kwa Kikwete sasa hapo utaona kwamba Yanga akitaka kuweka matangazo kwenye mabango yatalipiwa kweli wakati ni mradi wa Kikwete ambaye ni Mwananchi lialia.
 
Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Level ya Wydad kwenye nini? hao uliotaja wana makombe ya CAF wewe una nini?
 
Back
Top Bottom