Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]