Kwenu Wanasimba wa Dar

Kwenu Wanasimba wa Dar

Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndoto ya Simba ni kua na makombe mengi kama Yanga lakini haitawezekana Hadi siku Yesu atakaporudi.... [emoji23]
 
Hiki ndicho walichokua wanakitaka Yanga. Kuzungumziwa kwenye mitandao. Nadhani itaongeza vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na kufuatiliwa mitandaoni.

Safi sana kamati ya ufundi. Njooni na mbinu nyingine
 
Makolo wamejificha katika ukubwa wanakwambia wapo daraja moja na mamelodi,Al ahly,wydad,raja etc.
Ukiwaambia huo ukubwa upo wapi wanakwambia wamefika robo final wakati wenzao wote wamechukua makombe sijui wanaongelea ukubwa gani??
Basi mngefika hata nusu fainali kombe la losers lakini napo ola!!
Sasa hivi wamekuja kupozwa na channels ya wasap...hakika aliyewaita hakukosea
 
Wanahangaika wenyewe...wana Simba hawana habari kwa sasa wanaona ni kama wehu tuu..malimbukeni..tuko busy na Wasap group kule...wana Simba wanavimba wameamini madogo yalikua yanaota kwa muda mrf kuifunga...
Rafiki yangu naomba link ya hilo group
 
Rafiki yangu naomba link ya hilo group
Hivi nina link kweli...ila ingia watsup...kule kwny status..chini utaona kitu kimeandikwa Channels..utaona kuna clubs mbalimbali za mpira ,kuna watu wakubwa wakubwa huko...pia utaiona Simba SC..utaclick Simba then page itafunguka utakutana na news za Simba hapo then utaona kitufe cha Follow uta Follow so news zoooote zitakua kiganjani mwako...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]watu wakubwa na [emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772] FC akiwemo
 
Mpaka mseme
F-9kEkXXYAAy9lb.jpeg.jpg
 
Hiki ndicho walichokua wanakitaka Yanga. Kuzungumziwa kwenye mitandao. Nadhani itaongeza vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na kufuatiliwa mitandaoni.

Safi sana kamati ya ufundi. Njooni na mbinu nyingine
Una akili sana mkuu
 
Back
Top Bottom