.Weka picha unadhani kila mtu yuko Daslam
Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au MamelodWasalaamu
Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu.
Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli?
Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita yananing'inia juu.
Hivyo tu.
Una akili sana mtani...hii haina maana ni kujidhalilisha...Aisee!! Hayo natumizi mabaya ya pesa. Mechi ilishapita, timu inatakiwa kujipanga kwa ajili ya michezo mingine ya ndani, pamoja na ile ya Kimataifa.
Unaifungaje timu kubwa na bora barani Afrika uache kusheherekea?Aisee!! Hayo natumizi mabaya ya pesa. Mechi ilishapita, timu inatakiwa kujipanga kwa ajili ya michezo mingine ya ndani, pamoja na ile ya Kimataifa.
AngaliaUna akili sana mtani...hii haina maana ni kujidhalilisha...
Kwamba mtatufanya nini? LolsWanachokifanya yanga wasije kulaumu mtu.
Sawa... nyie ndio mnaongoza kuzimia uwanjani na uraiani huku.Kwamba mtatufanya nini? Lols
Kutesa kwa zamu, subiri yenu itafika miaka 20 ijayo.
Yanga akili mingi bwa'mdogo, jeshi liko Avic Town linajiandaa na CAF ila Ali Kamwe ndo kaamua achangamshe kijiwe.The more you dwell on the past the more you settle on it and you will fail to concentrate on your future wakishinda next match hawa nipo hapa nawasubiri.
Hujui mpira zaidi hujui historia,Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod
Kila timu ndogo duniani ina ndoto ya kuifunga timu kubwa. Kama sijakosea kwenye kombe la dunia lililopita kuna timu iliifunga Argentina kule kwao kulikuwa ni siku ya mapumziko kwasababu wameifunga timu kubwa.
Yanga wamefunga timu ngapi 5? Ila ushindi wa timu kubwa wanafanyia sherehe.
Ni sawa na Ndada aifunge Simba 5 lazima wafanye sherehe.
Yanga ni timu ndogo sana kwa Simba.
Msimu uliopita Yanga ilifungwa 2 bila, ulisikia Simba wameweka mabango? Hawajaweka kwasababu Yanga kwa Simba, Yanga ni timu ndogo sana ndiyo maana ndoto ya Yanga ni kuifunga Simba.
Mshabiki wa Yanga popote pale ulipo piga picha na video unitumie nikuone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani mkuu umetajiwa kiasi kikichotumika, nikuweke wazi sasa yale mabango yanamilikiwa na Juma Pinto ambaye mtaji kaupata kwa Kikwete sasa hapo utaona kwamba Yanga akitaka kuweka matangazo kwenye mabango yatalipiwa kweli wakati ni mradi wa Kikwete ambaye ni Mwananchi lialia.Aisee!! Hayo ni natumizi mabaya ya pesa. Mechi ilishapita, timu inatakiwa kujipanga kwa ajili ya michezo mingine ya ndani, pamoja na ile ya Kimataifa.
Kwa hio tuache kushangilia ya leo kisa next match?The more you dwell on the past the more you settle on it and you will fail to concentrate on your future wakishinda next match hawa nipo hapa nawasubiri.
Level ya Wydad kwenye nini? hao uliotaja wana makombe ya CAF wewe una nini?Unapoizungumzia Simba ni sawa umeizungumzia Wydad, Al Ahly au Mamelod