Kwenu wanaume, matatizo mengine hayahitaji maombi

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana

Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee wanaume mwaka wenu huu mpaka muombe pooh
 
Hata ukiwa na pesa still utamuhitajia Mungu kutatua tatizo ulilonalo,haimaanishi kua ukiwa na pesa basi haumuhitajii tena Mungu,Mungu ni msaada tosha uwe na pesa au usiwe na pesa.
 
Alisema niite nami nitaitika tena nitakuonyesha mambo makuu usioyajua sasa kama Nina shida na pesa si atanionyesha hizo pesa
 
Alisema niite nami nitaitika tena nitakuonyesha mambo makuu usioyajua sasa kama Nina shida na pesa si atanionyesha hizo pesa
endelea kulala atakuletea hapo hapo kwa bed
 
Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana

Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI
Waambie hakuna tatizo hata moja linalotatuliwa kwa maombi.
 
Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana

Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI

Mara nyingi hawa ni wanaue wa Dar tu...wale si wanaume halisi, ni magarasa tu.
 
Mwanaume Pambana Matatizo Mengine Yanahitaji Pesa na Sio Maombi.
Utakuta mtoto wa kiume unapata jaribu linalohitaji kutatuliwa kwa pesa wewe unakimbilia kwenye maombi, umaskini ni mbaya sana

Nawatakia sikukuu njema ya MEI MOSI
Katika kila jambo ulifanyalo lazima umtangulize Mungu kwanza hivyo kuomba niwajib.
 
Mungu Mungu Mungu Mungu Daima atabaki kuwa msaada na kimbilio la wanaume
 
You have everything when you have Christ
 
Kwangu Maombi ni lazima tena siku hiyo nafunga kwa ajili ya jaribu hilo.

Naamini Mungu pekee ndiyo mwenye pesa.
Ana maghara kibao ya pesa kuliko hata maghara ya mvua.

Maombi ndiyo siraha yangu kwenye kila jaribu ninalopitia.
Hata kama nikilitatua kwa pesa huwa naamini linaweza kujirudia, lazima nilishindikize kwa maombi.
 
Kama umesha fanya utafiti wakutosha kuhusu mambo hayo, utajua ukweli kuhusu jambo hilo kuwa wanaokwenda kwenye maombi wengi wanawake na sio wanaume, fanya utafiti utajua ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…