Kwenu wanaume, ukiomba namba ya simu usipopewa elewa

Tatizo hapana ya mwanamke wa kitanzania huwa si ya ukweli. Unaweza mtokea mwanamke akakuchomolea ukakausha miaka miwili baadae ukamtokea rafiki yake akaanza kukuletea fitina ukichunguza kwanini anakuharibia unagundua kumbe alikuwa anakuelewa ila anashangaa why unamfuata rafiki yake na wakati yeye haukumkazia.....

So hii kitu huwa ni hatari sana.....
 
Unaanzaje kuelewa kisichoeleweka mkuu? Imeandikwa ombeni nanyi mtapewa, usipopewa unaendelea kuomba mpaka upewe.
Hivyo usitufanye tupingane na maandiko.
 
Reactions: Cyb
Nani huyo? Itabidi tumuite kwenye kikao cha wanaume cha nidhamu
 
Kuna dada mmoja niliwahi kumuomba namba, akanichomolea. Kiukweli wala sikua namtaka kiviile ni basi tu ku maintain mawasiliano.

Mwezi uliopita tukawa tunaajiri, nikakutana na application letter yake. Mbaya zaidi kuipitia nikakuta kuna kitu kidogo tu amesahau ku attach, ila sifa zote nyingine anazo! Nikawaza sana nimtafute, nikaona ujinga nikampotezea.
 
Kwa chura hilo acha wanipige tu kwa kweli.
 
Ina maana ww ndo unatongozwa sana au?? Acha ushamba
 
Wanawake wanaosumbuliwa sana wana akili za kumkimbia mwanaume wasiowataka bila vita. Zungumza na wanawake wakufundishe.
 
Hajui kua ni harakati tu za kuajarbu kuendana na akili zao.
Akija kulainika unakua unajipakulia tu unavyo taka 😂
 
Acha ukoloni bwege ww, kwani namba shilling ngapi.. Siwapendi mademu dizain yako mnajikuta sana kama wanya hela vile..!!
 
No umekataa kunipa na bado umekuja kunipakazia huku, halafu me nlikua na lengo zuri tu
 
Wanawake wa pigo kama hizi ndiyo huwa wanafika miaka 30+ hawajaolewa halafu wanaanza kuwasumbua wachungaji na maombi.

Wanawake kutongozwa kawaida haina haja kulete bandiko hapa, au una sura ya baba ndiyo umetongozwa kwa Mara ya kwanza
 
Muhimu kuweka sura ya Kazi.

Hawatatumia mbinu za kidwanzi kutaka namba.

Plus it really depends on location.

Kama ni Sokoni lazima akukimbilie kelele za mle hamtaelewana.lol
 
Sa ka je alikua anataka kukuulizia vyumba vya kupanga maeneo yenu?

Au ka alikua anataka muwe marafiki tu napo kosa? Au we ulijua tu ukimpa basi atakutumia verses za mtongozo.. Sa ingine mnafukuzaga bahati bila kujua tu...
 
Angekuwa na cash wala usingebwatuka.......kamsemee kwa mamake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…