Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujafikia hatua hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2398]2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuambia mwanamke ataje sifa za mwanaume anayemtaka ,matokeo yake anataja sifa za viumbe ambao hawapo duniani
Kufosi usipopendwa Ni kazi sanaNi aheri ujilazimishe kupenda kule upendwapo, kuliko kufosi kupenda usipopendwa.
Namba moja ni upendo, hayo mengine ni ziada tuHabarini , hopefully mpo salama
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]
Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-
1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema
Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke
Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza
Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu
2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more u succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine
Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia
Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye
3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili
Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika
Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili
4.upendo
Mwanamke anahitaji upendo
Anahitaji kupendwa haswaa
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli nk
Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kizuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo
Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adabu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)
Itaendelea
Nawapenda[emoji8]View attachment 1005565
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka ndani ya ndoa hamli upendo..
JidanganyeKumbuka ndani ya ndoa hamli upendo..
Hayo mambo yote ni muhimu.
Sijakulazimisha kuyazingatia hayo mkuu.Jidanganye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Unahisi atakuwa hashughulishi ubongo wake vizuri, lakini kweli, anakosaje!
Kumbe hii ndo akili yenyewe inayosemwaWalio wengi kweli hawana akili za kuishi na wanawake, eti mwanaume ananuna eti kamnunia mkewe huyo ana akili kweli? Wapo mpaka kugegeda wanasusa [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
1Petro 3:7Hapo kwenye akili mbona hujaleta kifungu na inayosemwa ni akili ya aina gani huwa hiki kipengele sikielewi kabisa