Kwenu wanaume

Mmmh
 
hahaaa...huwa wanaazima matumbo au ??
 
Acheni kuleta matabaka jamani kuna watu wanaishi dar na maisha yao ni magumu lakini bado anajisifia huo ni ujinga yote hii ni Tanzania hakuna cha wanaume wa dar hili neno nalichukia sana wrote ni wanaume hakuna matabaka mleta mada jirekebishe
 
Huwa siwaelewi kabisa uhusiano wako,mimi hata nikila hivyo vi soseji perfomance iko pale pale tena ndio nakuwa mwepesi na flexible kuliko nikishindilia mamisosi mengi...
 
Wa Tanga huyu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…