Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
we peleleza utaujua ukweli
[emoji23] [emoji23] acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] acha uongo
MmmhRATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja.
Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili za kutafuta hela zinaendelea......(usiulize anatafutaje, wengi wanajua kuzisaka hata fake)
3.Usiku-Mchemsho wa maini[emoji13][emoji13]. Halafu anakazia na castle light au redbul
RATIBA YA MWANAUME WA MKOANI
1.Asubuhi- Kaamka saa 11 kaanza kukata majani ya ng'ombe then saa moja asubuhi CHAI MAGIMBI,MIHOGO YA KUCHEMSHA NA KARANGA MBICHI.
baada ya hapo analimia limia majani yanayozunguka nyumba.......
2.Mchana-Ugali wa Ulezi,Muhogo au dona na Mchicha+Maharage+Mapapai+ mtindi wa maana.
Baada ya hapo mishe zingine zinaendelea......
3.USIKU-Kabla ya kurudi home anakazia safari,au castle Lager, au BALIMI....then anaenda kula chakula chepesi cha kulalali a DONA NA MLENDA!
Sasa hapo angalia tofauti. Ndo mana wake zenu wakitoka dar kuja kusalimia kwa wazazi wao mkoani hawataki kurudi dar! Mana huko hawapati wanachostaili....Niwape siri huyo akikutana na EX wake wa mkoa mwenye ratiba kama hiyo anakuona wewe kama mdada mwenzie.......HUJIULIZI KILA MGANGA DAR ANAJIDAI KUTIBU NGUVU ZA KIUME?Mkoani hakuna waganga wa hivyo. "Usimwache mkeo aje likizo peke yake mkoani"
#wanaume_wa_dar_povu_ruksa
#mi_nipo_nyumbani_njoo_unipige
hahaaa...huwa wanaazima matumbo au ??Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.
Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
Naona kiumbe povu limemwagika.Very childish reasoning. Hivi Kila mwanaume wa Dar es Salaam hajui maisha Bora ni yepi?
Moderator seriously lianzinze jukwaa la watoto ambapo takataka kama hii itatupwa huko
Haha Mara moja mojaCalm down malaika
Hahaha sawaHaha Mara moja moja
Wa Tanga huyu....Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.
Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.