Kwenu wanaume

Kwenu wanaume

Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.

Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu breakfast majimbi ya kuchemsha na maziwa ya mgando hiyo shughuli yake
Ila wengine ni ulafi na uroho tu. Kuna siku nilienda mahali kulikua na ndugu yao katoka mkoani. Sababu tulikua tunapiga story akaambiwa atangulie mezani.

Tumekuja kwenda mezani hotpot nyeupeeeeeee. Tulichoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha kikapikwa kingine ama?
 
Back
Top Bottom