Kwenu wanaume

Kwenu wanaume

Ila wengine ni ulafi na uroho tu. Kuna siku nilienda mahali kulikua na ndugu yao katoka mkoani. Sababu tulikua tunapiga story akaambiwa atangulie mezani.

Tumekuja kwenda mezani hotpot nyeupeeeeeee. Tulichoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena hawafikirii wengine mnakaanga mayai sita wote mgawane, umejitahidi kwenye frying pan yawe round ili kila mtu achukue sehemu yake unakuta mheshimiwa ameyafyeka yote.
 
Tena hawafikirii wengine mnakaanga mayai sita wote mgawane, umejitahidi kwenye frying pan yawe round ili kila mtu achukue sehemu yake unakuta mheshimiwa ameyafyeka yote.
Hahahahaa vya kugawana ni mazoea,huku mkoani kila mtu anakula yake bila kumegana megana
 
Hahahaha kikapikwa kingine ama?
Eeeh hakukua na namna zaid ya kuingia jikoni tena. Yan kuharibiana budget tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu unakuta kijijin chakula ni mara 1 per day anakuja mjini mara 3. Inakua sherehe
 
Ndiyomaana wanaume wa mikoani wakifika Dar wanasababisha vyoo vi block. Akikaa hotelini mwenye hoteli kesho yake anaita vijana wa kuzibua vyoo.

Usipime wawe ni shemeji zako wawili wamekutembelea. Mkate mmoja na mayai sita wanaonja breakfast wakisubiri chapati na mchemsho.
Ajabu. Manamba wa mikoani Ng'ombe wanafuga wao. Mbuzi wanafuga wao. Viazi wanalima wao. Miwa wanalima wao. Sisi kula supu huku DSM wanatusakama. Chips wanatusakama. Tunakunywa Juice za miwa, wanatusakama. Poor Bushmen
 
Back
Top Bottom