😂😂😂😂😂😂😂😂Unawazungumzia hawa akina Daddy? Wa kusema junior no noo...?
Umenikumbusha back days nilikuwa na baba mkubwa daah.ni shida akifika tu hom nyumba inakuwa kimya, kila mtu anaenda kulala hata akifika saa kumi na mbili jioni,Ilikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao
Ndio hata mimi nawafikiria.Unawazungumzia hawa akina Daddy? Wa kusema junior no noo...?
Wako busy na house girl,play station, tv na marafiki.Ilikuwa miaka ya nyuma sana! Saivi tena watoto wako busy na baba zao kuliko hata mama zao
This is itWhat is this?
Happiness is a lifestyle
Wewe hujui tu, kama baba ana kaukali fulani hivi inaleta ladha sana ndani, heshima inakuwepo, watoto wanafanya majukumu yao pasipo kuwakumbusha, shuleni watoto wanakua hawaende kuchezea ada wanajua umuhimu wa elimu