Kwenu wanaume...

Kwenu wanaume...

Habari zenyu wapendwa,

Nina kiushauri kidogo kwenu wanaume au wababa. Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia chumbani.

Muwe na weekend njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba ukiondoka ,basi kuanzia Mama mpaka watoto wanafurahia.

Ukirudi basi wote wanashinda vyumban.


Hii ni mbaya sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom