Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Too bad, nimeishia hapo mstari wa pili, nikalose interest ya kuendelea. Thanks anyway
 
Mi simu ya mzee baba naiona kama kituo cha polisi...

Sitaki presha mimi...
Yap..kwa tabia hiyo ndoa yako unaitazama kama bahari,yaani unaona mwanzo tuu mwisho wake hauuoni... Utafika mbali..[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sawa kachero muandamizi wa fbi kitengo Cha ndoa...
 
Sawa..[emoji18]
 
Mama kasema...
Tukaguliwe tu ili tukae kwenye mstari. Mbona na sisi huwa tunazikagua simu za wake zetu kwa kushitukiza?
Ndoa ni kulindana na kutunzana,kinyume na hapo hakuna furaha hakuna ndoa...
Mwanaume unajisifia kukagua simu ya mke wako?
Utakuwa hauko sawa mkuu.
 
Mwanaume unajisifia kukagua simu ya mke wako?
Utakuwa hauko sawa mkuu.
Hakuna nilipo jisifia,soma na uelewe. Kama upo kwenye jamii ya walio kwenye ndoa basi utakuwa umezisikia kesi za mume kafuma sms tata kwenye simu ya mke/mpenzi wake.... Nimewakilisha tu
 
Umeeleweka sana mkuu
 
Hapa kwenye kujali familia mnamaanishaga huduma ya chakula, malazi na mavazi mengine wanaume wakufanya mnaoba hayana shida saana. Kujali familia ni pamoja na kuiweka ktk hali ya usalama sababu mwanamke anaweza asikuchunguze lakin hao watu wa nje (michepuko) ikawaachanisha.
 
Pole yao
 
Kwa hiyo unaimarisha usalama wa anga kwa kufanya interception ya pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…