[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana lol.
Mie napata...lkn maisha ayaringani wengine wanakosa kipindi cha nyuma huko ishawai nitokea mkuuPole sana mwambie mkeo akupe tu unyumba mkuu
Duh!Na hatuwapi mkatafute hela
Penzi ni tulizo la roho mkuuYeah na kweli!
Ila ngono nadhani watu huwa wanai overrate sana.
It’s not like ukiikosa ndo itakuwa kiama.
Ukiikosa leo, fine. You will live to have another opportunity another day.
Hatari hii mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi tufuatane rafiki. Hahahaaa.
Penzi ni tulizo la roho mkuu
Noma sana msifanye hivyo jamaniPole mkuu daah injini itakua moto sio kwa povu hili jaman na hali ya hewa shawishi daah
Twende tu kwakweli huyu ndugu kauli yake tata sanaItabidi tufuatane rafiki. Hahahaaa.
Hahahaa. Ila kaongea kweli ujue sababu Injini isingekuwa moto asingeandika uzi wa ulalamishi kiasi hiki.Twende tu kwakweli huyu ndugu kauli yake tata sana
Kwahiyo mkuu we ndio msemaji wao wanaume wanaonyimwa unyumbaMie napata...lkn maisha ayaringani wengine wanakosa kipindi cha nyuma huko ishawai nitokea mkuu
Hahah!!Hahahaa. Ila kaongea kweli ujue sababu Injini isingekuwa moto asingeandika uzi wa ulalamishi kiasi hiki.
Angekubaliana na hali kimya kimya.
Hahahaaaa. Sawa rafiki.Hahah!!
Ngoja kwanza niangalie maana ya injini kwenye kamusi ya wakubwa alafu narudi
Ndio hii hii ya Man Fongo?Hahahaaaa. Sawa rafiki.
Ila injini maana yake ni hiyo hiyo rafiki... ndio hiyo hiyo. [emoji85] [emoji85]
Hahaaa. Sitaki rafiki. [emoji85]Ndio hii hii ya Man Fongo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Sitaki rafiki. [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimekumbuka mbali sanaKwahiyo mkuu we ndio msemaji wao wanaume wanaonyimwa unyumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!!
Ngoja kwanza niangalie maana ya injini kwenye kamusi ya wakubwa alafu narudi