Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #61
Mmhhh! Hiyo mpya hiyoo mkuuAnzisheni chama cha wanyimwa unyumba..mtasikilizwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhhh! Hiyo mpya hiyoo mkuuAnzisheni chama cha wanyimwa unyumba..mtasikilizwa tu
Kuna katabia kimezuka kwenu nyinyi.
Wanawake kuwanyimma unyumba waume zenu, mnawazaga nini mpaka inafikia huko?
Utakuta mumeo umpi mbunye wiki mbili au mwezi nzima unategemea nini mwanamke
Nikitoka nje kutafuta nyumba ndogo, unaanza kulia, kinachokuliza ni nini haswa... Wakati umeyataka mwenyewe.
Pambana na hali zako!