Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nimejifunza wanaume hawajui mapenzi hataaaa bali wanafanya kama kutimiza wajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likewise Mobutu[emoji16]
Hii na Mimi nijue... kama wanaume hatujui so mnafanya na kiumbe gani kinachojuaNimejifunza wanaume hawajui mapenzi hataaaa bali wanafanya kama kutimiza wajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEJIFUNZA MKUUnimekuwa bingwa wa kubeti sa sijui ndo kujifunza uko
ata sielewi
Jukwaa gani niirushie jicho mkuuJAMANI KONA NYINGINE NIMEJIFUNZA KUWA , HATA KWENYE FAMILIA TUSIAMINIANE SANA .... MAANA MIMI KWENYE FAMILI TUMEKUWA KWA AMANI ZOTE ILA KUNA JAMAA KATOA STORY YA MAMA YAKE ... DAAAH... NIMEJIFUNZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza piaNimejifunza kwamba kuna staili ya kuifinyia kwa ndani.
Acha niendelee kusoma comments!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza uvumilivu, maana kuna watu wacomment kutia moyo mtu wengine wanadhihaki nakutukana yote maisha.
HAKIKANimejifunza uvumilivu, maana kuna watu wacomment kutia moyo mtu wengine wanadhihaki nakutukana yote maisha.
Hapo sasa 😈Hii na Mimi nijue... kama wanaume hatujui so mnafanya na kiumbe gani kinachojua
Sent using Jamii Forums mobile app