Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Niliona geita moja inasoma kua imetembea km400,000 mwenye nayo aliilangua kwa mwingn yy ni wa 3 kuimiliki Nikashangaa sana.
 
Ni Kweli Kigoma Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda Makele

Serengeti Kwenda Tarime, Utakuta Zinamwaga Moto Rough Road Kama Mgeni Ukiifuata Unaangusha Gari
Mkuu hizo gari kwa mishe hizo za kubena abiria kwa siku roughly kinaweza ingiza shilingi ngapi?
 
Ok ninacho Cha kwangu dsm Kuna mtu anapiga nako mishe za Uber wacha nikiache tu. Huko kitateseka Sana.
Kuna mtu aliniambia eti unaweza pata Hadi laki kwa siku?
Labda kama unaendesha mwenyewe
 
Hivi Toyota Probox inayo tachometer ya kupima Engine RPM?
 
20210606_173109.jpg

Watu ni nga
 
Back
Top Bottom