SanDisk hutajutia, na vile ziko copy-cat, unatumia sanDisk tool HII , kama ni OG, hiyo tool ita detectflash imara (original) za 4 GB
yep yepkisha yenyewe kuhakiki eh?
sijui bei yake kwakweli, ila naona kama ziko adimu kimtindo maana 4GB ni ndogoVipi bei yake kwa hiyo 4 GB?