wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kuna kampuni moja inajiita (Seven Siries International) inahusika na huduma ya kupima watu na kuwapa dawa, hii kampuni ina watu maalaum kazi yao ni kushawishi watu waende kupimwa ili kupewa dawa, yaani hao waajiriwa sio ma daktari ila wahamasishaji wa kutafuta na kushawishi ili uende hapo.
Hapo huyo mhamasishaji kila kichwa ana percent zake pale anakula baadae baada ya mgonjwa kupigwa hela. Nasema kupigwa hela maana hawa jamaa wana zulia eti ukilikanyaga doctor anakuambia matatizo yako yote na dawa unayotakiwa ambayo wao ndio wanakuuzia.
Ombi langu:
Nilikuwa naomba mamlaka husika kabla watu hawajapoteza uhai wao kwa kulaghaiwa muende mkachunguze hawa watu kama wanafanya kazi kiuhalali na wamesajiliwa:
Hawa jamaa wako barabara ya mandela ukitoka daraja la juu mita kama 100 kushoto kama unatoka ubungo mataa (landa mark ya kwanza unaingia pale uchochoroni kama unafuata fansi ya hilo gorofa)geti unalotizamana nalo ndio wamehamia hapo.
Ni hilo tuu ili baadae isije tokea la kutokea serikali ikaanza kulaumiwa.