DOKEZO Kwenu Wizara ya Afya na Mamlaka ya Dawa (TMDA)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kuna kampuni moja inajiita (Seven Siries International) inahusika na huduma ya kupima watu na kuwapa dawa, hii kampuni ina watu maalaum kazi yao ni kushawishi watu waende kupimwa ili kupewa dawa, yaani hao waajiriwa sio ma daktari ila wahamasishaji wa kutafuta na kushawishi ili uende hapo.

Hapo huyo mhamasishaji kila kichwa ana percent zake pale anakula baadae baada ya mgonjwa kupigwa hela. Nasema kupigwa hela maana hawa jamaa wana zulia eti ukilikanyaga doctor anakuambia matatizo yako yote na dawa unayotakiwa ambayo wao ndio wanakuuzia.

Ombi langu:
Nilikuwa naomba mamlaka husika kabla watu hawajapoteza uhai wao kwa kulaghaiwa muende mkachunguze hawa watu kama wanafanya kazi kiuhalali na wamesajiliwa:

Hawa jamaa wako barabara ya mandela ukitoka daraja la juu mita kama 100 kushoto kama unatoka ubungo mataa (landa mark ya kwanza unaingia pale uchochoroni kama unafuata fansi ya hilo gorofa)geti unalotizamana nalo ndio wamehamia hapo.

Ni hilo tuu ili baadae isije tokea la kutokea serikali ikaanza kulaumiwa.
 
Nchi imejaa mazuzu hii, acha yapigwe tu.

Naamini kwa kweli yaani mtu anarubuniwa kupimwa hata kama haumwi alimradi aingie achukue form kwa sh5000 alafu eti akanyage zulia kisha amulikwe mulikwe na kimashine (kama projector)alafu anaambiwa eri umechekiwa mwili wote kila kiungo kisha unaandikiwa dawa ambayo wao wanayo (ya miti shamba) alafu unaambiwa gharama kiasi fulani.alafu huyo huyo alokupeleka baadae anakula fungu lake la udalali.
 
Kuna kampuni moja inajiita (Seven Siries International) inahusika na huduma ya kupima watu na kuwapa dawa, hii kampuni ina watu maalaum kazi yao ni kushawishi watu waende kupimwa ili kupewa dawa, yaani hao waajiriwa sio ma daktari ila wahamasishaji wa kutafuta na kushawishi ili uende hapo.

Hapo huyo mhamasishaji kila kichwa ana percent zake pale anakula baadae baada ya mgonjwa kupigwa hela. Nasema kupigwa hela maana hawa jamaa wana zulia eti ukilikanyaga doctor anakuambia matatizo yako yote na dawa unayotakiwa ambayo wao ndio wanakuuzia.

Ombi langu:
Nilikuwa naomba mamlaka husika kabla watu hawajapoteza uhai wao kwa kulaghaiwa muende mkachunguze hawa watu kama wanafanya kazi kiuhalali na wamesajiliwa:

Hawa jamaa wako barabara ya mandela ukitoka daraja la juu mita kama 100 kushoto kama unatoka ubungo mataa (landa mark ya kwanza unaingia pale uchochoroni kama unafuata fansi ya hilo gorofa)geti unalotizamana nalo ndio wamehamia hapo.

Ni hilo tuu ili baadae isije tokea la kutokea serikali ikaanza kulaumiwa.
Kwa wale vijana wanaotafuta ajira kuna ajira nyepesi tu ya kuwa mganga, maana mazuzu wapo wengi watakua wateja wako,utajipigia tu mihela.
 
Back
Top Bottom