Na amini mnapita humu, natumai ujumbe mtaupata na mtaufanyia kazi. na hii ni mahusi kwa katibu mkuu.
Ipo hivi, CRB (Contractors Registration Board ndio wanaohusika kufanya assessment ya kampuni zinazotaka kusajiliwa na kufanya kazi ya ukandarasi, halafu board board members wanakuja kuidhinisha.
Yapitia miezi miwili sasa toka CRB walivyofanya ukaguzi,na kinachosubiriwa na board member ,ukiuliza nini kina kwamisha Wana sema board muda uliisha, na inabidi wizara iteue board member wengine.
miezi miwili tumekwamishwa ,haijulikani lini wizara itateua board members wengine, kutwa mnatupa hamasa ya kujiajiri lakini nyinyi pia ndio mnaleta vikwazo ,inachukua muda gani kuteua hao watu, au na hili hadi raisi aseme? hebu kuweni serious