Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Kadri soka letu linavyozidi kukua, eneo hili ninaona kama halijongei. Kwanini tunaweza zalisha International players kama Samata, international clubs kama Simba, FIFA's class referrees, International media company kama Azam, lakini hatuoni Makocha wakubwa Afrika kutokea Tanzania?