Hakuusisha wataalam? Hivi tz unaijua au unaisikia. Hapo wataalam walihusishwa kwa kupewa mlungura.Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya.
Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja tu halafu nimuachie.
Hakuna mtu atakayewajibishwa/wajibika.Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground.
Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini.
Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu maana wasingeruhusu afanye alichofanya.
Naiomba serikali inipr huyu mtu nikae nae ndani siku moja tu halafu nimuachie.
Hivi Nikuulize hivi unaweza ukajikamata mwenywesawa tumesikia sijui niffer na mtangazaji gani sijui wamekamatwa !
je mmiliki wa jengo na watoa vibali,wasimamizi wa hilo jengo nao wamedakwaaaa!
Ova
Ni kwwli mbona mmiliki hatajwi?sawa tumesikia sijui niffer na mtangazaji gani sijui wamekamatwa !
je mmiliki wa jengo na watoa vibali,wasimamizi wa hilo jengo nao wamedakwaaaa!
Ova
Hilo jengo la Majaliwa au Mpango?Hivi Nikuulize hivi unaweza ukajikamata mwenywe
Tunakamata wasio na hatia ili wakosefu waponesawa tumesikia sijui niffer na mtangazaji gani sijui wamekamatwa !
je mmiliki wa jengo na watoa vibali,wasimamizi wa hilo jengo nao wamedakwaaaa!
Ova