Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali kuchizika na korona kuliko kukata batri baada yakupima korona mapapai,fisi,ngedere ,makada ya CCM n.kNinakuonya! Ulikotoka ni mbali sana, umekuwa mtu mhimu sana hapa kwa nyakati tofautofauti, kwa sasa hadhi yako inashuka sana
Umekuwa na nyuzi za kijinga mno, sielewi iwapo na wewe ulipigwa zile chanjo za Korona, walio wengi wameendelea kuchizika
Heshima kitu cha bure.Unadhani flight attendant hafanyi hivyo?
Weka ukwelikuna upotoshaji wa kiwango cha juu sana 🐒
ndio maana kule kwenye debe huwa makataliwa, kwasababu unajaribu kutetea kitu ambacho unaemtetea halalamiki, hana shida nacho na wala haihitaji msaada wako 🐒Weka ukweli
Imesimama njoo ukalieTunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5 , haki za kikatiba , ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka , hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa , Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape , Membe , Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa , faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa , simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa , unaambiwa ilikuwa aibu , maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana , kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao , hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini ?
View attachment 2935450
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala , ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema , huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote , hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba , badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa , hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha .
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Kudukuana hakujaanzia kwa Magufuli na hakutaishia kwake.Kwamba huo udukuzi huu wa Tanzania mwanzilishi ni Jiwe na ndio maana amewaanika aliowadukua ?
Tunachokifanya ni kuzuia uchafu huu usijirudie tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN , hata kama hakuna anayelalamika .ndio maana kule kwenye debe huwa makataliwa, kwasababu unajaribu kutetea kitu ambacho unaemtetea halalamiki, hana shida nacho na wala haihitaji msaada wako 🐒
you are just forcing something doesn't exist 🐒
Awamu ya 4 Kibajaj akiwa Bungeni alisoma barua ya Mapenzi Kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema na KUB Mbowe kwenda kwa Kada wa CCM Wema Sepetu 🐼Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Nje ya madaAwamu ya 4 Kibajaj akiwa Bungeni alisoma barua ya Mapenzi Kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema na KUB Mbowe kwenda kwa Kada wa CCM Wema Sepetu 🐼
Kawaida sana 😂😂😂
Yawezekana wewe awamu ya 5 ulikua hujazaliwa.uongo na upotoshaji una haribu hadhi na kushusha heshima na utu wako 🐒
zaidi sana unaharibu image na status ya taasisi yako mbele za jamii, unaikosesha kuaminika 🐒
hata hivyo ni hii dalili bayana iliyokomaa tena iliyokomaa kabisaa, ya kukosa hoja, kukosa sera, Lakini na kupoteza uelekeo na dira kung'ag'ana na masuala ambayo hayana umuhimu wowote wala hayasaidi kukuongezea chochote 🐒
umaskini wa hoja, fikra na sera ni uraibu unaotia huruma sana mbele ya jamii 🐒
Mambo ambayo hayatija tija kwenye biashara au shughuli zako usipende kujishughulisha nayo, mmetufanya tufikirie mara mbili tatu na mwenendo wa chama chenu hasa sie tuliopigania chama enzi hzo bonyai akiwa hata Bado redbriged.Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
HakikaYawezekana wewe awamu ya 5 ulikua hujazaliwa.
HayaMambo ambayo hayatija tija kwenye biashara au shughuli zako usipende kujishughulisha nayo, mmetufanya tufikirie mara mbili tatu na mwenendo wa chama chenu hasa sie tuliopigania chama enzi hzo bonyai akiwa hata Bado redbriged.
unazuiaje kitu ambacho hakipo 🐒Tunachokifanya ni kuzuia uchafu huu usijirudie tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN , hata kama hakuna anayelalamika .
Wakati Nyerere na wenzake wakipigania Uhuru walikuwepo Watanganyika walioona wanapoteza muda , walisema kama wewe kwamba hakuna malalamiko , lakini wapigania uhuru waliendelea kupambana hadi mwisho
Kwamba watu hawakudukuliwa ?unazuiaje kitu ambacho hakipo 🐒
wew sio threat kwa yeyote popote nani atababaika na wew bana kamanda 🐒
kwa uongo na upotoshaji huo nani atakuamini at uwe kiongozi wao hali yakua hata mahitaji na vipaumbele vyao hujui 🐒
Politically speaking,
nilikupa ushauri mujarabu sana mapema, kwamba hii inayumbisha image yako na taasisi yako kwamba mnakaa kubuni uongo ambao si tu hauna maana bali unadidimiza zaidi imani ya wafuasi wenu waliowaamini 🐒