Kwenye awamu ya 5 viongozi wote Wastaafu na waliokuwa madarakani mawasiliano yao yalidukuliwa na kuanikwa hadharani. Faragha zao zilipuuzwa

Sugu bwana unadhani kuendelea kuisakama awamu ya tano ndio kutakupa credit ya kupewa jimbo 2025?
 
Ninakuonya! Ulikotoka ni mbali sana, umekuwa mtu mhimu sana hapa kwa nyakati tofautofauti, kwa sasa hadhi yako inashuka sana

Umekuwa na nyuzi za kijinga mno, sielewi iwapo na wewe ulipigwa zile chanjo za Korona, walio wengi wameendelea kuchizika
Afadhali kuchizika na korona kuliko kukata batri baada yakupima korona mapapai,fisi,ngedere ,makada ya CCM n.k
 
Weka ukweli
ndio maana kule kwenye debe huwa makataliwa, kwasababu unajaribu kutetea kitu ambacho unaemtetea halalamiki, hana shida nacho na wala haihitaji msaada wako πŸ’

you are just forcing something doesn't exist πŸ’
 
Imesimama njoo ukalie
 
Kwamba huo udukuzi huu wa Tanzania mwanzilishi ni Jiwe na ndio maana amewaanika aliowadukua ?
Kudukuana hakujaanzia kwa Magufuli na hakutaishia kwake.

Hilo ni zoezi endelevu.

Magufuli alikua anaheshimu sana taarifa anazopewa.
 
ndio maana kule kwenye debe huwa makataliwa, kwasababu unajaribu kutetea kitu ambacho unaemtetea halalamiki, hana shida nacho na wala haihitaji msaada wako πŸ’

you are just forcing something doesn't exist πŸ’
Tunachokifanya ni kuzuia uchafu huu usijirudie tena kwenye nchi hii , NEVER AND NEVER AGAIN , hata kama hakuna anayelalamika .

Wakati Nyerere na wenzake wakipigania Uhuru walikuwepo Watanganyika walioona wanapoteza muda , walisema kama wewe kwamba hakuna malalamiko , lakini wapigania uhuru waliendelea kupambana hadi mwisho
 
Awamu ya 4 Kibajaj akiwa Bungeni alisoma barua ya Mapenzi Kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema na KUB Mbowe kwenda kwa Kada wa CCM Wema Sepetu 🐼

Kawaida sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Awamu ya 4 Kibajaj akiwa Bungeni alisoma barua ya Mapenzi Kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema na KUB Mbowe kwenda kwa Kada wa CCM Wema Sepetu 🐼

Kawaida sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nje ya mada
 
Yawezekana wewe awamu ya 5 ulikua hujazaliwa.
 
Mambo ambayo hayatija tija kwenye biashara au shughuli zako usipende kujishughulisha nayo, mmetufanya tufikirie mara mbili tatu na mwenendo wa chama chenu hasa sie tuliopigania chama enzi hzo bonyai akiwa hata Bado redbriged.
 
Haya
 
unazuiaje kitu ambacho hakipo πŸ’

wew sio threat kwa yeyote popote nani atababaika na wew bana kamanda πŸ’

kwa uongo na upotoshaji huo nani atakuamini at uwe kiongozi wao hali yakua hata mahitaji na vipaumbele vyao hujui πŸ’

Politically speaking,
nilikupa ushauri mujarabu sana mapema, kwamba hii inayumbisha image yako na taasisi yako kwamba mnakaa kubuni uongo ambao si tu hauna maana bali unadidimiza zaidi imani ya wafuasi wenu waliowaamini πŸ’
 
Kwamba watu hawakudukuliwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…