Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Kwa tafsiri Ujiko ni sifa , huwezi kutafuta sifa kwa ID fake...nafikiri ingesema "FITINA KWANGU NI UJIKO"
Warning to False Prophets
The lord declares, " I am against the prophets who wag their own tongues, yet claim, 'The lord declares' ".
'These self-proclaimed prohets mislead the people withbrecless lies, underminig trust and sowing discord in the community.
Nani hapa Jf ambaye hafahamu haya ninayoyaandika ? unasema kinyongo , unadhani hicho kinyongo kimetokana na nini ? je unaweza kuthibitisha hicho kinyongo ?Kama isingekuwa kuna vinyongo na visasi ndani ya Jamiiforums, nyuzi hii isingepita hata kidogo.
Magulification will go on
Kama JF wote tunafahamu haya unayoyandika, sasa unarudia kuyaandika Ili iweje? Kumkumbusha nani ilhali wote tunayafahamu kwa mujibu wako?. Ujinga mtupu.Nani hapa Jf ambaye hafahamu haya ninayoyaandika ? unasema kinyongo , unadhani hicho kinyongo kimetokana na nini ? je unaweza kuthibitisha hicho kinyongo ?
Vitisho !Uzuri Watanzania sio wasahaulifu.
Mahakama zilimtia hatiani Cyprian Musiba kwa defamation.
Watanzania watakumbuka Cyprian Musiba alihusishwa na Uvujaji wa "Vidukuo" hivi hivi tu kwamba mengi yalikuwa ni fabrication. Na hivyo kufanya taarifa hizi za Erythrocyte kuwa ni Fabrication tu.
Tukirudi hapa kwa Erythrocyte na JamiiForums , Familia au Estate ya J.P.Magufuli inaweza kuwafungulia hawa kesi za Defamation kwa kuchukua screenshots za Uzi kama huu na kutumia kama ushahidi wa- na kuzitaka/kuitaka mahakama kuwalazimisha Jamiiforums watoe taarifa za huyu Erythrocyte au za Kusitisha kashfa hizi.
Yaani cease and desist au watoe taarifa zitakazo tumika kupelekwa kwa Erythrocyte kufikisha mahakamani.
Somewhere somehow these shenannigans have to stop.
Na hao wastaafu wapeleke madai yao mahakamani. Na wathibitishe haya madai na tuhuma za Erythrocyte kuwa ni kweli yaliwatokea. Bila hivo Nchi hii itatumbukia kwenye Siasa za Visasi na Vinyongo. Bila hivyo haya ni Maoungo tu.
Mbona nimeandika kwa lugha yenu ya Taifa ?Fafanua, unaposema "VIONGOZI WOTE" Unamaanisha nini?
Picha za hao uliowabandika hapo juu ndio wamekutuma?Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Ukimaliza utuletee na kisa cha mwenyekiti kuvunjika mguu kwa kimada!Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Una kasirika nini sasa?Ukiona nakosea basi weka ukweli , Juzi January kaanika uchafu wa awamu ya 5 , hamkuja na hizi ngonjera , Kinana akisema hamsemi lolote , ila mimi nikisema mnasema naandika uongo .
Ni hivi , hakuna jambo linaloweza kufanikiwa kwa kuficha Ukweli , Polepole alihusika kuua Demokrasia na Simu za watu wengi zilidukuliwa , Full Stop na usithubutu kunitisha .
Tukiandika unachodhani ni uongo basi njoo na huo ukweli wako ili utuumbue , vinginevyo Shut up !
View attachment 2935642
ππππMimi nitaendelea Kusema.
Familia ya John Pombe Magufuli ifike mahakamani haraka sana.
Hii kesi watashinda kwa kishindo.
Hata wakati wa chadema wakiwa moto enzi za katibu mkuu Slaa walikuwa wakidukua sana viongozi wa Serikali na kilipua mabomu kwenye mikutano yao ndio maana chadema kipindi hicho ilipendwa sana kipindi hicho maana waliongea kwa nyaraka zilizodukuliwa au kivujishwa,hata Sasahivi Serikali ya Samia inafanya hivyo ndio maana unaona pangua pangua na kuamisha,kusifu na kuabudu nikwingi, kufukunyua mawasiliano ya Watu sio kwa Magufuli duniani kote wanafanya hivyo,sema hakina Kinana walikuwa washamba hauwezi kumteteta Rais wa nchi hivyo,ingelikuwa Rwanda kwa Kageme Sasahivi waliisha sahaulika.Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Mbona hakuna rejea za cheusi mangala kuzungumza hayo unayomzushia?Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .
Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo hata raia wa kawaida waliotiliwa shaka, hasa wale wanaotumia mawasiliano ya Kitanzania walidukuliwa, Taarifa zinaeleza kwamba hawa akina Nape, Membe, Kinana na Makamba ni wachache katika wengi waliodukuliwa, faragha za watu zilianikwa na wadukuaji waliotumwa, simu zote za familia za viongozi na wajukuu zao zilidukuliwa, unaambiwa ilikuwa aibu, maana udukuzi huo ulikuwa wa kishamba sana, kiasi cha kudukua hata waliokuwa wanaongea mambo yao na mahawara zao au michepuko yao, hivi unamdukua mtu anayeongea na hawaraake ili upate nini?
Ukitaka kuthibitisha hilo fuatilia nyuzi za Cheusi Mangala, ambayo tunadhani ilikuwa ID ya wadukuzi wenyewe au mtu wa karibu na wadukuzi ama labda msamaria mwema, huyu ndiye aliyeanika udukuzi wote hapa JF
Udukuzi ule zaidi ya kudhalilisha viongozi waliotajwa haukuwa na tija yoyote kwenye Taifa , hakuna hata mmoja kati ya waliodukuliwa aliyeonyesha uhaini wowote. Hoja zao nyingi walizodukuliwa nazo zilikuwa ni za mshangao tu wa namna nchi inavyoendeshwa kishamba, badala ya kuwadhalilisha wadukuliwa, hoja zao zilipaswa kutumia kujisahihisha.
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Hapa wala husemi ukweli Bali unasema ujingaTunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu .

Hakuzungumza , yeye alileta nyuzi za Udukuzi hapa JF , Ingia kwenye ID yake nyuzi zote zimejaa tele na wala hazijafutwaMbona hakuna rejea za cheusi mangala kuzungumza hayo unayomzushia?
Ila ujinga uliojaa ukweli mtupu !Hapa wala husemi ukweli Bali unasema ujinga