Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini