Haya mabumunda yetu yanayo waza kuiba na kuizuia chadema yatakuelewa sasa.Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
Gharama za kutengeneza huu mfumo zipoje?Na gharama za mantainance zipoje?Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
Kama hawana maslahi nacho hawatowekaNimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
hizo innovations hazijaanzishwa na viongozi wa japan!Huku tunaongozwa na watu wajinga, mafisadi na majizi ya mali za umma
You will need a constant flow of wind to generate considerable minimal voltage for that project.Nimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
Wazo zuri sana ila kulitekeleza kwasasa na kwa watendaji tulio nao ni mtihani mkubwaNimetembea baadhi ya nchi za ulaya, njia za mwendokasi zinatumika kuzalisha umeme wa upepo kutikana na upepo unao zalizwa na mabasi yanapo pita..
NI njia rahisi sana ya kuongeza umeme kwenye grid ya taifa.. ukiweka barabara zote za mwendo kasi hatuwezi kosa MW 50. Naomba kuwasilisha wazo
Angalieni video hapo chini
Lazima utengeneze watu wako, siasa inalipa kuliko physics kwa Tanzania, nani hataki maisha mazuri?hizo innovations hazijaanzishwa na viongozi wa japan!
Wakati wenzenu wanasoma PHYSICS nyie mnakimbilia Ungwini na kujidai wajuaji wa sheria