Ndomaana Mie Hata Ktk Daladala Nakaa Siti Ya Pekeangu Au Mbele Kabisaaa. Sababu Hiyo. Juzo Kuna Mbibi Katoka Mkoa Alafu Kalewa Kabeba Mjukuu. Sasa Mkwewe Alompokea Kakaa Siti Ya Mbele Mie Nkakaa Nae Siti Ya Nyuma. Nlikoma Kila Saa Anamuongelesha Uyo Mkwewe Kwa Saut Alafu Gari Imejaa Asipomjibu Anaita Tena Alafu Njiani Anauliza Maswali Mara Ainuke Aangalie Kama Mkwewe Hajashuka Mara Amuambie Mtoto Ukijamba Nakuchapa. Kazi Kwelikweli.