kwenye basi mtoto analilia skonzi yangu

Kula malizia

Ajifunze kwenye maisha sio kila unachotaka unapata

Utampaje skonzi umeipaka mate pande zote???
 
Mkuu nakuomba usimpe tafadhari,leo mwanangu yupo road na kutokana na tabia yake ya uchangamfu anapenda kuchukua kitu chochote cha mtu mwingine(nahisi ni Yeye) , 6 month now,usimpe mate yako tafadhari,kwanza Kwanini na wewe unakulakula ovyo kama paka?
 
Mpe tu! Kama mama yake yupo atamkataza!!!
 
Mkuu nakuomba usimpe tafadhari,leo mwanangu yupo road na kutokana na tabia yake ya uchangamfu anapenda kuchukua kitu chochote cha mtu mwingine(nahisi ni Yeye) , 6 month now,usimpe mate yako tafadhari,kwanza Kwanini na wewe unakulakula ovyo kama paka?

sasa mkuu, me nanjaa afu mwanao mnafananaje! mwambie aache kiherehere
 
Mkuu nakuomba usimpe tafadhari,leo mwanangu yupo road na kutokana na tabia yake ya uchangamfu anapenda kuchukua kitu chochote cha mtu mwingine(nahisi ni Yeye) , 6 month now,usimpe mate yako tafadhari,kwanza Kwanini na wewe unakulakula ovyo kama paka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…