kwenye basi mtoto analilia skonzi yangu

kwenye basi mtoto analilia skonzi yangu

Kizimbuzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
1,569
Reaction score
745
Naombeni ushauri wakuu. sa skonz lenyewe nimeshalipiga meno pande zote yaan, na mtoto kachachamaa kwel kwel
 
nimejikuta nacheka tuu.... tabia ya kula kula kila mahala ni mbaya..mpe mtoto skonz
 
kama skoz umeshalipiga meno pande zote wewe komaa na skoz lako mpaka liishe... mtoto utamnunulia biscut uko mbele
 
Huyo mtoto kafunzwa tabia mbaya, wewe kula skonz yako wacha wazazi wake wamnunulie maana ndo wamemfunza ujinga
 
Bro usimpe we kula Tu! Siku nyingine atajifunza...Ndio hao wakiwa wakubwa wanaomba vitu kama vya kwao ukiwanyima wananuna.
 
Ukute mtoto wa mdada wa kiti cha pembeni hamjuani wala nini mmekutana tu kwenye basi
 
Ndomaana Mie Hata Ktk Daladala Nakaa Siti Ya Pekeangu Au Mbele Kabisaaa. Sababu Hiyo. Juzo Kuna Mbibi Katoka Mkoa Alafu Kalewa Kabeba Mjukuu. Sasa Mkwewe Alompokea Kakaa Siti Ya Mbele Mie Nkakaa Nae Siti Ya Nyuma. Nlikoma Kila Saa Anamuongelesha Uyo Mkwewe Kwa Saut Alafu Gari Imejaa Asipomjibu Anaita Tena Alafu Njiani Anauliza Maswali Mara Ainuke Aangalie Kama Mkwewe Hajashuka Mara Amuambie Mtoto Ukijamba Nakuchapa. Kazi Kwelikweli.
 
Naombeni ushauri wakuu. sa skonz lenyewe nimeshalipiga meno pande zote yaan, na mtoto kachachamaa kwel kwel
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Hahahahahaaaaaa! Hebu tupia kapicha kwanza kina Tomaso tupo wengi...
 
Back
Top Bottom