Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya yote wee ni nani yakeNaombeni ushauri wakuu. sa skonz lenyewe nimeshalipiga meno pande zote yaan, na mtoto kachachamaa kwel kwel
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bro usimpe we kula Tu! Siku nyingine atajifunza...Ndio hao wakiwa wakubwa wanaomba vitu kama vya kwao ukiwanyima wananuna.
Mkuu nakuomba usimpe tafadhari,leo mwanangu yupo road na kutokana na tabia yake ya uchangamfu anapenda kuchukua kitu chochote cha mtu mwingine(nahisi ni Yeye) , 6 month now,usimpe mate yako tafadhari,kwanza Kwanini na wewe unakulakula ovyo kama paka?

[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vaa headphones
HahahahahaHahaaa nyinyi watu mnavituko