Kwenye biashara kinacho takiwa ni kujua unatafuta pesa ya Aina gani?

Kwenye biashara kinacho takiwa ni kujua unatafuta pesa ya Aina gani?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Cocacola au peps hawa jamaa wana Model yao wanayo itumia nitaelezea kwa Tanzania.

Hawa wanatafuta sarafu pekeee kwenye mauzo yao hawatafuti noti za msimbazi.

TANZANIA KWANZA TUNA PESA ZIFUATAZO MPAKA SASA

1. Cent 5
2.Cent 10
3. Cent 20
4. Cent 50
5.Sh 1
6.Sh 5
7.Sh 10
8.Sh 20
8.Sh 50
9.Sh 100
10.sh 200
11.Sh 500
12.Sh 1000
13.Sh 2000
14 Sh 5000
15.Sh 10,000.

Sasa kampuni kama cocacola au peps wao wanatafuta kaunzia Namba 11 kushuka chini

Mchoma mahindi anatafuta kuanzia sh 500 kushuja chini.

Muuza pipi anatafuta sarafu za sh 50 hatafuti elfu 10.

Kwenye biashara unapaswa kuangali uwezo wako ni upi?

Kama ni sarafu basi wewe jikite na Sarafu tu.
Sh 50/ ndo baadae zitakupatia not.

Azama na Iccreem zake anatafuta sarafy pekee.

Kiwanda cha pipi wanadili na sarafu.

Sigara wanadili na sarafu pekee.

Muuza karanga ana tafuta sarafu.

Hizi sarafu mwisho wa siku zikijumlishwa zitatoa noti.

Kuna biashara wao wanadili na note.

Sasa watu kama peps wanadili na Sarafu kwenye biashara zao za kila siku hawatafuti noti.

Kinacho gharimu watu ni kuto kujua anacho tafuta.

Next time nitaelezea kwa nini Model ya kutafuta sarafu ndo bora zaidi Duniani.

HAYA MASOMO NI MAGUMU KIDOGO SO KAMA INAKUSHINDA PITA KIMYA KIMYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok..Naona kwa wengi ni somo gumu,wamepita kimya kimya !!!
 
Mkuu this is a very interesting topic, actualy ina mahusiano makubwa sana namna nchi zinavyoweza kukusanya kodi kubwa kupitia VAT.

Yaani mteja anaponunua lets say vocha ya 500 hasikii maumivu ya kato la kodi moja kwa moja na vivyo hivyo kwa mfanyabiashara ambae bidhaa zake nyingi zinauzika kwa bei za 1000 kushuka chini.

Mteja anakuwa huru kununua bidhaa hizo sababu bei zake huonekana kuwa 'cheap' lakini huridhika na ubora kulingana na hitaji lake.

Hii kitu kwa mjasiriamali anaelenga kutoa consumer goods ni vizuri akawa na uelewa nayo yaani maswala ya 'value and pricing principle'

Ukitizama historia ya kampuni kubwa zote mfano mc'donnads ni principle ya value na pricing iliyowawezesha kuweza kuscale mauzo yao.

And very recently, bidhaa mfano ya diamond karanga itauzika kwa miaka mingi na kwa wingi kuliko bidhaa ya perfume aliyotoa kabla. I can bet on that ni kwasabab ya value and pricing principle.

Nice topic mkuu.
 
Nice topic with nice comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise Jamiiforum tungekuwa Mada kama hizi tunachangia na kupanuana mawaz nahisi tungekuwa mbali sana

Send from Nokia batani
kila kimoja kina portion yake kwa hiyo siyo saa zote tutajadili mambo ya pesa tuu kuna watu na vipaji tofauti humu ndani wapate sehemu ya kutushirikisha yao. turudi kwenye mada imekaa vizuri kuna kitu kipya nimekipata ambacho nilikuwa sijawahi kukiwaza.
 
Nikweli usione wakina bakharesa wanauza juis za jero wanajua..hizo sarafu ndio nyingi mana watu wakuzinunua bidhaa zao kwa price hiyo niwengi zaidi..tofauti kama angeuza kwa bei kubwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom