Kwenye Blender nimefikia hapa

Kwenye Blender nimefikia hapa

nipo na ka project kengine hapa nitakapost mbeleni ila naamini blender naiweza kwa 80% na 19% naishindwa kutokana na specification za pc yangu uwezo wake so

Nipo serious sana Mpango wangu mkubwa ni kupata group la watu wengine wa 3d tujoin tuwe na studio kubwa ya movies zenye vfx
yap mkuu ngoja nikipata mda tutafanya kazi, hata tukianza na short animations sio mbaya.
 
Aisee inabidi nianze kujifunza 3d modelling nimekuwa nikitamani kuanza kwa muda mrefu.
 
car.PNG
car1.PNG
car2.PNG
 
Blender iko vizuri sana, niliachana na hayo mambo baada ya kumaliza chuo, maana mtaani ni ngumu
 
Ila inabidi tukomae maana ukiilewa vizuri inalipa na ajira ni nje nje na ina mpunga wakutosha
 
Naipata vizuri maana nilisoma kozi yake semester nzima, hizi project za animation zinataka collaboration, yani muwe atleast watu watatu hivi, nikitulia itabidi nianze kujikumbusha
 
Nampango wa kutafuta PC yenye uwezo mkubwa na nitafute watu tuwe kama wanne halaf tufunguwe kama studio hivi special for movies
 
Yeah, hii ndo ninayoisema. Ukiweza hyo mtafika mbali. Hata hawa wanaotengeneza movie 🎬 kubwa za animation wako timu kubwa sana, mfano Disney
 
nimeona kuna 3D imetumika kwenye music wa Gnako kibongo bongo nikali ila naona Idea na effects hazijapangiliwa vizur
 
Back
Top Bottom