nipo na ka project kengine hapa nitakapost mbeleni ila naamini blender naiweza kwa 80% na 19% naishindwa kutokana na specification za pc yangu uwezo wake so
yap mkuu ngoja nikipata mda tutafanya kazi, hata tukianza na short animations sio mbaya.Nipo serious sana Mpango wangu mkubwa ni kupata group la watu wengine wa 3d tujoin tuwe na studio kubwa ya movies zenye vfx
Psychedelic drug murua kabisa.datura stramonium
Naipata vizuri maana nilisoma kozi yake semester nzima, hizi project za animation zinataka collaboration, yani muwe atleast watu watatu hivi, nikitulia itabidi nianze kujikumbushaIla inabidi tukomae maana ukiilewa vizuri inalipa na ajira ni nje nje na ina mpunga wakutosha
Nampango wa kutafuta PC yenye uwezo mkubwa na nitafute watu tuwe kama wanne halaf tufunguwe kama studio hivi special for moviesNaipata vizuri maana nilisoma kozi yake semester nzima, hizi project za animation zinataka collaboration, yani muwe atleast watu watatu hivi, nikitulia itabidi nianze kujikumbusha
Yeah, hii ndo ninayoisema. Ukiweza hyo mtafika mbali. Hata hawa wanaotengeneza movie 🎬 kubwa za animation wako timu kubwa sana, mfano DisneyNampango wa kutafuta PC yenye uwezo mkubwa na nitafute watu tuwe kama wanne halaf tufunguwe kama studio hivi special for movies
nimeona kuna 3D imetumika kwenye music wa Gnako kibongo bongo nikali ila naona Idea na effects hazijapangiliwa vizurYeah, hii ndo ninayoisema. Ukiweza hyo mtafika mbali. Hata hawa wanaotengeneza movie 🎬 kubwa za animation wako timu kubwa sana, mfano Disney
Kuna movie moja imejumuisha wahusika kama 700+Yeah, hii ndo ninayoisema. Ukiweza hyo mtafika mbali. Hata hawa wanaotengeneza movie 🎬 kubwa za animation wako timu kubwa sana, mfano Disney
Nje ni animationni ya kibongo au nje?
Nimeiona hyonimeona kuna 3D imetumika kwenye music wa Gnako kibongo bongo nikali ila naona Idea na effects hazijapangiliwa vizur