Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.

Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to hell" na waziri mwingine akawajibu wabunge 'kila mtu atabeba msalaba wake'

Kwenye NEC wasingeweza kutoa kauli hizo kwa sababu mwenyekiti wa NEC ndio Rais wa nchi.

Anyway tulikuwa tunajadili tu kauli ya mzee Msekwa kwamba hakuna kazi rahisi duniani kama kuongoza Bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kati ya wanaCcm ambao hawana akakili na wapuuzi ni wewe. Kujifanya unajuwa wakati ni mpumbavu. Hili ni Bunge la Chama kimoja?
Wewe unaliona ni Bunge la vyama vingapi?

Kwa kuanzia Ndugai na Tulia wameshapitishwa kuwa Spika na naibu spika!
 
Kwani lilopita nani alikuwa Spika na nani alikuwa naibu? Tumia akili unapoleta hoja. Chadema kama chama changu kutokuwa na wabunge wengi ndio bunge la chama kimoja?
Mbunge mmoja ana madhara gani?

Acha kukariri, bunge ni la chama kimoja yaani chama dume CCM!
 
Achana Na Hao Wazee Ambao Mpaka Sasa Hawajitambui
Muda Huu Unatueleza Mambo Zamani Tupa Kule!!
 
Maybe we should underpaid politicians and overpaid teachers, then they would be smarter people and less stupid laws...
emoji41.png
emoji41.png
 
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.

Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to hell" na waziri mwingine akawajibu wabunge 'kila mtu atabeba msalaba wake'

Kwenye NEC wasingeweza kutoa kauli hizo kwa sababu mwenyekiti wa NEC ndio Rais wa nchi.

Anyway tulikuwa tunajadili tu kauli ya mzee Msekwa kwamba hakuna kazi rahisi duniani kama kuongoza Bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!

Unasema Bunge Raisi hataka hata vyama viwepo hivyo sio Bunge tena ni Tanzania
 
Back
Top Bottom