johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unaliona ni Bunge la vyama vingapi?Kati ya wanaCcm ambao hawana akakili na wapuuzi ni wewe. Kujifanya unajuwa wakati ni mpumbavu. Hili ni Bunge la Chama kimoja?
Mbunge mmoja ana madhara gani?Kwani lilopita nani alikuwa Spika na nani alikuwa naibu? Tumia akili unapoleta hoja. Chadema kama chama changu kutokuwa na wabunge wengi ndio bunge la chama kimoja?
Wewe ndo huna akili, wewe unalionaje?Kati ya wanaCCM ambao hawana akili na wapuuzi ni wewe. Kujifanya unajuwa wakati ni mpumbavu. Hili ni Bunge la Chama kimoja?
Hahahaaaa....... amepanic!Kamanda, matusi ya nini sasa!?
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to hell" na waziri mwingine akawajibu wabunge 'kila mtu atabeba msalaba wake'
Kwenye NEC wasingeweza kutoa kauli hizo kwa sababu mwenyekiti wa NEC ndio Rais wa nchi.
Anyway tulikuwa tunajadili tu kauli ya mzee Msekwa kwamba hakuna kazi rahisi duniani kama kuongoza Bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!