Kwenye cm yako una Aplications gan

Mkuu umetisha mbaya sana
 
app zote ambazo mara nyingi huja na simu baasi.
 
za kudownload kuna; whatsApp, Quora, Tweeter, Pinterest, Jf, Instagram, HD Recorder, Call Record, Bible, Swahili Quoran, Daily Horoscope, Scientology na Tagged

Na zote nafurahia uwepo wake kwa wakati tofauti tofauti
Bible na quran kwa pamoja unataka kugundua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…