Kwenye cm yako una Aplications gan

Kwenye cm yako una Aplications gan

Mkuu umetengeneza ml ngap ad saiz
Man, don't underestimate freelancing platforms kama vile Upwork, Freelancer.com na hiyo Fiverr! Kwamba mtu katengeneza milioni ngapi, hilo ni suala lingine kwa sababu hata hao wanaofanya kazi kwenye ajira za kawaida, sio wote wanatengeneza hizo milioni ngapi!
 
Nme angalia uzi wote cjaona anae miliki Freebasics App nmejona kama nataka nilete vurugu umu uzini
Anyway Zangu app ni;
1.GTA:CTW
2.GTA:Sa
3.Minecraft New Edition
4.TheoTown
5.Stardew Valley
6.Freebasics
7.Savefrom
8.TeaTv
9.Mobdro
10.MusicMatch lyrics Premium
11.What's App
12.MEGA
13.MX Player
14.Uc Browser
15.ADM
Long life my Tecno Y4 japo unapgwa majungu kwa hiv15 unansukuma👏👏
 
Back
Top Bottom