Man, don't underestimate freelancing platforms kama vile Upwork, Freelancer.com na hiyo Fiverr! Kwamba mtu katengeneza milioni ngapi, hilo ni suala lingine kwa sababu hata hao wanaofanya kazi kwenye ajira za kawaida, sio wote wanatengeneza hizo milioni ngapi!Mkuu umetengeneza ml ngap ad saiz