Kuzaa muhimu sana hasa kama uwezo wako unaruhusu. Kuna mzee wetu mkubwa alibahatika kusomeshwa na wazungu huko ughaibuni na akapata kazi alizaa watoto2 tu na waliachana sana kwa umri hadi naandika hapa kashazeeka hana mtoto hata mmoja wote amezika. Bahati mbaya sana walifunga uzazi. alibarikiwa kuwa na kzi kubwa hapo bandarini......Saivi ameasili watoto 4 ke2 na me2.Sasa huu kama sio utahira ni nini? na amekuwa mtu wa kutoa ushuhuda makanisani kuwa watu wazaane sana na mifano kedekede.
Inasikitisha sana. mimi kwa afya tu nikijaliwa hata 7 sio mbaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.